Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Siyo nimekalili ndiyo ilivyo.Wanafunzi wanasoma shule za serikali maranyingi wanajiuza Kwa bodaboda Kwa kupewa chips mayai.Huyo anayemsema anaongea kiingereza vizuri japo Mimi simjui lakini kiuhalisia anayesoma serikali kukimudu ni ngumu sana labda ukute huyo mtu Kwa namna Moja ana ukaribu na jamii ambayo inazungumza hiyo lugha.mfano ukute huyo mtu amefanya shughuli za utalii au kwenye mahotel.
Ufahamu na exposure yako kuhusu mambo ya kijamii ni duni sana, kiufupi mind yako Iko inflexible.

Zingatia wadangaji(Malaya) wamegawanyika kwenye categories mbili, Kuna cheap prostitutes ambao ndio hao uliozoea kuwaona huko uwanja wa fisi, temeke Sudan, buguruni sijui Riverside hao wengi wao wametoka familia za hoo hae na hata elimu zao ukifuatilia wamesoma kayumba na pengine hata hiyo elimu ya kayumba hawakuimaliza.

Halafu Kuna Hawa expensive biitches ambao wengi wao wanafanya udanganji kwenye mazingira ya kishua na ya kisomi, mfano kwenye mahoteli ya kifahari, na kwenye sites za escort.... Na maisha Yao Huwa ni gharama sana, na hata dau lao Huwa ni kubwa sana tofauti kabisa na hao unaowaona huko Riverside.

Nikujuze hao wadangaji wa matawi ya juu wengi wanatokea middle income households, familia ambazo wazazi Wana afford kuwapeleka watoto wao hizo EM za ada ya 3m Kwa mwaka, mwisho WA siku wakitoka huko wanakuwa na tamaa ya maisha ya anasa na wazazi wao hawajawaandalia mazingira mazuri ya maisha baada ya masomo, hivyo wanajikuta wanaingia kwenye udangaji wa kiwango.

Kuhusu hoja yako ya kingereza, ni kwamba Uncle Sam alisoma Gederi primary na baada ya hapo akaenda Buswelu Secondary ambapo kwanzia form one mpaka form four yeye ndio alikuwa debate organizer wa English development program ya shule. Yaani jamaa ukimskia akiwa anaongea utasema kazaliwa au kukulia nje, maana English yake imenyooka sana, na hajasoma English medium Wala kufanya kazi ya tour guide kama unavyo hisi.

Wewe nnachokiona kwako umezoea kulishwa(spoon feedin), yaani hili ufanikishe jambo fulani ni lazima uwekewe mazingira rahisi ya kufanikisha jambo Hilo, haya Kuna mwingine anaitwa Masanja ni alikuwa ni dokta pale KCMC, chuo kasoma MUHAS huyu nae primary kasoma Kayumba school(Nundu primary) ila English yake hata wazungu wenyewe wanamkubali, Sasa hivi Yuko nje anasomea jicho....!!

Pamoja na kujinasibu umepata elimu Bora kulingishiana na waliosoma Kayumba, ila una ulimbukeni Mwingi sana kuliko hata waliosoma Kayumbas
 
Umekalilishwa EM hazifai.Kiufupi zinafaa sana.kwenye suala la kudanga linajumuisha pamoja na malezi ya nyumbani siyo shuleni tu.kama malezi ya nyumbani ni ya hovyo ndiyo matokeo ya watoto kdanga kama unavyodai mara aka ya udangani.Anayedharau EM na kutukuza kayumba anakuwa Bado hajaelimika.Na hao unaowatoa kama Mfano wanajua kiingereza ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanaomaliza shule za serikali.Uamuzi ni wako ukiona za serikali ni nzuri somesha huko.
 
Mbona umesoma wewe bladifaken wahed,aya aya nyie wasomi uchwara bwana😁😁😁😁

Katafute kazi acha kuwazo ndoto za mchana wewe mvulana.Tafuta kazi saivi ni interview tu kwa kwenda mbele hakuna connection za kijingajinga.Sasa hapo ndo utajua wasaili wanataka utirio au wanataka kingeraza chenu broken.
Moja ya majukumu ya kazi yangu ni kuwafanyia interview watu wengine.
Mind you, sijaajiriwa kama ambavyo upeo wako umegota kufikiri.
 
Back
Top Bottom