GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watu wakisha amka itakuwa rahisi sana kuwamaliza....hata BOTNaibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo ‘memo’.
Taarifa: MWANANCHI. Online
Tena huko UWT, JWTZ, PT, UT, Wizarani na katika Mashirika ya Umma (hasa Bandari na Tanesco) ndiyo Kunaongoza.
Hili ni BOMU kubwa la huko baadae.
Kuna mtu anawatia kichwa mkuundugu🙂Ngoja nitulie ntaelezea kilichonikuta Nida kawe wale wadada mmoja kama mpemba hivi na mwenzake mweupe mnene wa idara ya usajili na kurekebisha makosa ,wale sio dharau wana kufuru kwa wananchi ukienda hapo unaweza kulia kwa uchungu walivyo na kebehi,matusi,jazba ,lakini hii yote inatokana na kufanya kazi kwa mazoea,kujuana, na connection ?
Kajisahau. Mhusika mwenyewe alitoboaje hadi hapo alipo kwa sasa. Ni hayo hayo.CCM buana...
Kwamba anajifanya ndio anajua leo...
Wao wenyewe wapo kwenye ubunge pengine kwa sababu ya rushwa au minyukano ndani ya vyama vyao...
Viongozi wazuri wameachwa wanachukuana kwa kujuana. Hii hali hata kwenye shule. Mwalimu mkuu na mkuu wa shule kwa kujuana.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo ‘memo’.
Taarifa: MWANANCHI. Online
Tena huko UWT, JWTZ, PT, UT, Wizarani na katika Mashirika ya Umma (hasa Bandari na Tanesco) ndiyo Kunaongoza.
Hili ni BOMU kubwa la huko baadae.
Ni Wanafiki na Wapumbavu mno Mkuu.Wanashtuka leo ,hawa vip🙄