Huu Upuuzi ulioota Mizizi Serikalini miaka karibia 25 sasa ndiyo mnaushtukia leo? Acheni Unafiki na hadaa

Huu Upuuzi ulioota Mizizi Serikalini miaka karibia 25 sasa ndiyo mnaushtukia leo? Acheni Unafiki na hadaa

Ni kwa sababu ya maslahi duni huko kwingine, Serikali iboreshe maslahi ya watumishi wengine ili kusiwe na kushindana huko kwenye maslahi manono.

Walimu, Polisi na manesi na majeshi yote Serikali iboreshe mishahara yao.
 
Back
Top Bottom