GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 7, 2024 Thread starter #21 rodrick alexander said: Watamwondoa Sasa hivi Click to expand... Na hata 'Kudedishwa' mazima asipoangalia.
rodrick alexander said: Watamwondoa Sasa hivi Click to expand... Na hata 'Kudedishwa' mazima asipoangalia.
Mama Naa JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 453 Reaction score 1,104 Mar 7, 2024 #22 Ni kwa sababu ya maslahi duni huko kwingine, Serikali iboreshe maslahi ya watumishi wengine ili kusiwe na kushindana huko kwenye maslahi manono. Walimu, Polisi na manesi na majeshi yote Serikali iboreshe mishahara yao.
Ni kwa sababu ya maslahi duni huko kwingine, Serikali iboreshe maslahi ya watumishi wengine ili kusiwe na kushindana huko kwenye maslahi manono. Walimu, Polisi na manesi na majeshi yote Serikali iboreshe mishahara yao.