Ubongo wako una shida, kwa akili yako unawaza anayetakiwa kuandamana na Lisu na Mbowe et alhuu upuuzi tukiunyamazia nchi itakuwa ya kifalme sielewi kwanini wapinzani awamu hii wakipanga maandamano hawatekelezi.
Ubongo wako una shida, kwa akili yako unawaza anayetakiwa kuandamana na Lisu na Mbowe et al
Bila kuwaza kwamba hata wewe unatakiwa kuwa part of the changes which you want
Wewe ndio wale kundi moja na januari makamba mnashindania nani kajaza uwanja leoWewe ndiye shetani Mwenye laana ,unafurahia kwa kinachotokea !
Yaani unachotoa ufahamu kisa hela unahopata kupitia CCM ,na ulaaniwe wewe na watoto wako
wengi tuko tayari tunahitaji muhamasishaji wa kutupa mzuka, na ukimsoma jiwe kitu anachoogopa kuliko vyote ni maandamano huu ndio muda muafaka wapinzani kutumia weakness ya adui yao kumfrustrate mpaka aombe poo.Ubongo wako una shida, kwa akili yako unawaza anayetakiwa kuandamana na Lisu na Mbowe et al
Bila kuwaza kwamba hata wewe unatakiwa kuwa part of the changes which you want
Jiwe anajisifu kununua mandege na kujenga mabarabara hadi angani, sasa huo woga unatokana na nini?wengi tuko tayari tunahitaji muhamasishaji wa kutupa mzuka, na ukimsoma jiwe kitu anachoogopa kuliko vyote ni maandamano huu ndio muda muafaka wapinzani kutumia weakness ya adui yao kumfrustrate mpaka aombe poo.
Anajua urais hakupewa na watu alipewa na tume.Jiwe anajisifu kununua mandege na kujenga mabarabara hadi angani, sasa huo woga unatokana na nini?