Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
...acha kuuma yaweza kuchomoka bana! we vipi?? akashike makanyagio ya mkewe huko!!!
Ulimpeleka wa nini sasa?? Yaani wewe unanichekesha kweli nakunishangaza.
Pole sana usimpeleke tena basi sawa eeehhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...acha kuuma yaweza kuchomoka bana! we vipi?? akashike makanyagio ya mkewe huko!!!
Kama wewe unaweza kumremba kama huyo mwenye ujuzi, mrembe,
Kama huwezi muache aende, kwani kusafishwa miguu ndo kuna niliu.......
Manake akiwa mchafu, hajirembi lazima utasema , mwanamke mchafu huyu.
Halafu usiseme mke demu bwana!!!
Tuliza moyo kaka!![/QUOTE]...Kweli kabisa ngoja tufikirie mchakato wa katiba mpya nadhani kwa leo inatosha...!nasikia hundi ya Dowans imetolewa jana???
Last week end nilikuwa maeneo ya mwenge pale nikiwa na mwandani wangu. Kimsingi aliniomba nimsindikize akatengeneze kucha zake. Tukatia timu, mwenyewe anadai kuna kijana ambaye humtengeneza hizo kucha mara kwa mara. Tukafika mwenge na yule jamaa tukamkuta, kwa kuwa alikuwa na mteja mwingine tukalazimika kusubiri. Then ikafata zamu ya honey wangu. Mamaaa akavua viatu akaweka miguu kwenye mapaja ya kale kajamaa, kakaanza kumnyoosha vidole vya miguu kama masaji fulani hivi. Nikimuangalia demu wangu sikuamini, amejiachiaaaa katuliaa jamaa anabonyeza vidole then ndio akaanza kumsafisha hizo kucha na baadae kumpaka rangi kwa mtindo aliotaka....Alipomaliza tukiwa kwenye gari tunarudi nyumbani nikamwambia next time akitaka kusafisha kucha na kupaka rangi hilo zoezi nitalifanya mimi tukiwa chumbani kwetu kwani sikupenda jinsi jamaa alivyokuwa anamchezea miguu ni wazi alikuwa anamtekenya kimtindo.....Huwezi kuamini alinigomea kwa nguvu zote...Hivi wana nini wale jamaa pale mwenge???
wewe ndiyo unamatatizo! Kwanin humwamini honey wako? Au ulishang'wata na nyoka one time mkuu? Ndio mana hutaki tena machungu yakurudia nini?