Huu urembo wa kucha kwa wanawake.....Mh!!! mi hoi kabisa.............

The only concern that I have with these things is health. Tunachangia vitu vyenye ncha jamani tutapata ukimwi. Na unakuta mtu ana wateja wengi, ni bandika, bandua. I am just thinking loud.
 
Ha ha ha ha!
Wivu gani huo jamani?
Umeona kucha tu?
Mbona hata saluni tunaenda kutengenezwa nywele na wakaka wa kizaire wanatutekenya tekenya vichwani pia.
Kwa mafundi nguo wakitupima wanatushika shika sehemu zote wanazopima.
Lol!
 
wewe uliyataka mwenyewe kwani hukujua anayeenda kumtengeneza hizo kucha ni mwanaume?sasa wivu wa nn....
afu wale wakaka wanavyojua kukaribisha sasa... we mwenyewe utajikuta ushakaa kutengenezwa kucha...........
 
Unaeza kujaribu kumfanyia massage but kupaka rangi:coffee:..huezi..so vumilia tu!.tunapenda what they do!.esp wakongo!:clap2:..
...Mh!! kumbe wako wengi...:A S 20:
 
Ha ha ha ha!
Wivu gani huo jamani?
Umeona kucha tu?
Mbona hata saluni tunaenda kutengenezwa nywele na wakaka wa kizaire wanatutekenya tekenya vichwani pia.
Kwa mafundi nguo wakitupima wanatushika shika sehemu zote wanazopima.
Lol!

....Ala kumbe???!!!......
 
kawaida kabisa
tuliza mtma babu!!!
 
Kumbuka kuwa weye ni Sajenti na sii mtaalam wa kuchua miguu au kupaka kucha rangi.Utakuwa unalidhalilisha jeshi liwe la wananchi,polisi au hata mgambo wa jiji, tuliza ball acha wataalam wafanye kazi yao.Sana sana na wewe ukitaka utachuliwa miguu Msalimie mwandani wako
 
..Namuamini sana sikupenda lake kajamaa kushika shika nyayo za mke wangu..we ukiguswa huko unajisikiaje??
Wewe unashtuka nyayo? Siku moja nilishuhudia pale Mwenge mama mmoja anafanyiwa massage ya miguu mshikaji anapanda mpaka mapajani, mama wa watu katulia tuliii! Hapo kijana wangu si ungekuja ngumi?
 
Wewe unashtuka nyayo? Siku moja nilishuhudia pale Mwenge mama mmoja anafanyiwa massage ya miguu mshikaji anapanda mpaka mapajani, mama wa watu katulia tuliii! Hapo kijana wangu si ungekuja ngumi?
....Hapo ndipo wanaponimaliza utadhani wamechomwa sindano ya ganzi...Umeshawahi kumgusa paka kichwani katikati ya kichwa utaona mpaka anasinzia. Hakuna kurusha ngumi mkuu atakuwa anapaka hina nyumbani huko ndio mwisho tena!!:clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…