Huu utakuwa ugonjwa gani?!

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye!
Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo.

Ni siku 3 zimepita tangu nikojoe damu, damu ilitoka mwishoni kbs wakati wa kukojoa na ilikuwa nyingi kiasi mpaka nikaogopa. Tangu siku hiyo nimekuwa makini kuangalia ninachokikojoa.

Kwa ss sikojoi tena damu ila kila nnapoanza kukojoa kuna kamchirizi keusi kanatoka, ni kama damu nzito iliyoganda baada ya kuongea na doctor wangu akaniambia itabidi nikapime kichocho na mm ninawasiwasi na sehemu nilipopita recently,

hebu changieni mawazo ya jinsi ya kumsaidia huyu ndugu yety!
 
Sasa mkuu doctor wako kashakwambia upime kichocho na wewe mwenyewe unajua ulipopita yamkini unajua unachoumwa sasa muda unaosubiri watu wachangie kanyuzi kako haka ungekuta ushapimwa ushajua unaumwa nini na pia dozi ungekuwa ushaanza..Get off!!
 
Mkuu tatizo lako ni vigumu sana kupata ufumbuzi bila vipimo. Najua binadamu unapoumwa hasa kutoa damu unakuwa na wasiwasi sana na unataka upate ufumbuzi haraka. Nakushauri uende hospital inayoeleweka, ili upate vipimo. Tafadhali usiende hivi vihospital vidogo vidogo kwani wanaweza kukubambikia ugonjwa. Kam upo Dar nenda sehemu kama Muhimbili, TMJ, Agakhan etc
 
Mtoa mada unataka tupime kwa macho? Mbona doctar kashindwa na mlikuwa face to face sisi tusiokujua wala kukuona tutaweza!? Acha ngono zembe ukimwi upo na kaswende,gonolia bado havijastaafu.
 
wahiii hospitali mkuu
 
Umekua mkubwa cherekooo ululululuulululuuuu !!!!!!!!
 
Mi nadhani haumwi angekuwa anaumwa vizuri hata mda wa kubeba cm kuandika angeshindwa!!
 
Nenda hospital ya kubwa ukapimwe mkuu,huku huwezi kupata majibu ya ugonjwa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…