dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye!
Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo.
Ni siku 3 zimepita tangu nikojoe damu, damu ilitoka mwishoni kbs wakati wa kukojoa na ilikuwa nyingi kiasi mpaka nikaogopa. Tangu siku hiyo nimekuwa makini kuangalia ninachokikojoa.
Kwa ss sikojoi tena damu ila kila nnapoanza kukojoa kuna kamchirizi keusi kanatoka, ni kama damu nzito iliyoganda baada ya kuongea na doctor wangu akaniambia itabidi nikapime kichocho na mm ninawasiwasi na sehemu nilipopita recently,
hebu changieni mawazo ya jinsi ya kumsaidia huyu ndugu yety!