Huu utamaduni ukiufikiria utakusaidia sana na waweza kuwa mtaji kwa wafanyabiashara

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Kuna tofauti kubwa sana ukichukua 0-0=0 na ukichukua 100-100=0, kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiione tofauti maana majibu yote ni 0.

why that example?

Nimekua nikichunguza watu wanaokwenda bank hasa hasa wafanya biashara ambao unakuta mtu anamlipa mwenzake kwa biashara ambayo wamefanya. Wengi unakuta ni kiasi kikubwa cha pesa. Ningependa niwape kaushauri kadogo cha kijinga. Ukienda benki kama unaenda kumdepositia mtu pesa tumia hiyo nafasi kuideposit hiyo pesa kwenye account yako (kama una account kwenye bank husika) kisha withdraw hiyo pesa ndo umlipe unaetaka kumlipa. Maana ya kufanya hivi ni kwamba kama account yako inatabia ya kuingia hela na kutoka huu utakua ni mtaji tosha kwako kama unaenda kufatilia masuala ya mkopo maana ukichukua bank statement yako ule upande wa credits utakua umesheheni credits za kutosha hivo bas waweza kumu outsmart hata loan office awe na picha kwamba wewe ni bonge la businessman. Hata kama umetumwa na mtu we fanya huo ujanja believe me utakusaidia.

Ni hilo tu.. Ni jambo dogo sana la kijinga ila mantiki yake ni kubwa kupita maelezo. ova
 
yaani hapo hujafanya lolote, hela inayoingi ana kutoka hata ndaNI ya wiki haikusaidii kwa lolote inapokuja wakati wa credit analysis
 
Sasa watu wa benki hizi mbinu wanazionaje?, je huoni kuwa umewafungua macho, hivyo wanaweza weka ka uzibe??

kwa hiyo ulitaka abaki kimya ili tusipate somo. Kutoa hela na kuweka kwenye akaunti yangu loan officers haiwahusu. Hawatakuwa na evidence kwamba mkwanja ninao deposit na kutoa sio wangu. cha msingi benk statememt in good cash flow.
 

Duh,kumbe mtu unaweza kufanya hivi!!:shock:..bora nimejua,asante mkuu kwa darasa
 
Kinachotakiwa ni mzunguko wa hela kwenye akaunti husika, sio udiposit milioni siku hiyohiyo uitoe yote then baada ya miezi2 udiposit laki hiyo haitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…