D
DeletedMember281674
Guest
Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia.
Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko wanaongezeka???