D
Weka picha tuwachambeMimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia.
Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko wanaongezeka???
Master rekebisha kauli kidume uchambe?Weka picha tuwachambe
Unajuaje kama mimi ni kidumeMaster rekebisha kauli kidume uchambe?
Ni wao wameamua, ni uhuru wao wa kujieleza wewe kushangaa ndiyo ushamba.Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia.
Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko wanaongezeka???
Huyo siyo kidume alishahama kambiMaster rekebisha kauli kidume uchambe?
Ni ushamba tuMimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia.
Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko wanaongezeka???
Japo sipendi kujitoboa sehemu yoyote ile wala kujichora tatoo yoyoteMimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour.
Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia.
Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko wanaongezeka???
Sio uhuru wake?πNi wao wameamua, ni uhuru wao wa kujieleza wewe kushangaa ndiyo ushamba.
Ni uhuru wake lakini ni ushamba pia.Sio uhuru wake?π
Ngojea tukutane na Anko T..Sasa sijui utazinyofoaI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary