mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 989
- 610
Yaan wanakera sanaHahahahahhaha aise ila wanaotea mazombi machakani
Ebu fikiria hanijui na yeye katuma sms yu anatarajia ninDah...Sasa utapeli uko wapi hapo?[emoji13]
Mmmh labda niwe nimelewaGeneral kama wewe unataka kupigwa kizembe namna hiyo!
Nimeshafuta mkuu huko sijawajibu walaWapotezee mkuu
Dah....ndiyo upige sasa umjue[emoji23] [emoji23]Ebu fikiria hanijui na yeye katuma sms yu anatarajia nin
Kuna kipindi nafikiria kwamba hawa jamaa wapo wengi msg tofauti kila siku na serikali ipo lakini ndio wanazidi kuongezeka...Kwa sababu hiyo hufikiri kabisa kuwa labda ni aina nyingine ya ukusanyaji mapato ambayo serikali imeibuni ili kuongeza mapato!? Sababu kupitia hizi sms wapo watu wanapigwa kwelikweli wale washambawashamba....Wameshindwa kudhibitiwa