Huu utapeli umerudi tena

Huu utapeli umerudi tena

mr.general

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
989
Reaction score
610
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Kuna watu wengine sielewi kwanin wanakutumia sms ambayo inahitaji upige namba zao kama mtu unakata kufanikiwa!!?,mafanikio ya kweli ni kufanya kazi kwa bidiii tu .
Na kumtanguliza mungu muumba wetu kwa vitu vyote ulimwenguni.
Screenshot_2018-09-29-23-41-04.jpg
 
Wameshindwa kudhibitiwa
Kuna kipindi nafikiria kwamba hawa jamaa wapo wengi msg tofauti kila siku na serikali ipo lakini ndio wanazidi kuongezeka...Kwa sababu hiyo hufikiri kabisa kuwa labda ni aina nyingine ya ukusanyaji mapato ambayo serikali imeibuni ili kuongeza mapato!? Sababu kupitia hizi sms wapo watu wanapigwa kwelikweli wale washambawashamba....

Kwa siku unaweza kupokea mpaka sms 3 za hawa wajinga na bado taasisi husika za serikali zipo tu! Labda ni kamradi kakukusanya mapato...hutuwezi jua!
 
hivi kuna watu huwa wanatuma kweli pesa au kuwatafuta....kama wapo basi wanahitaji mabadiliko mapya ya digital
 
Back
Top Bottom