Huu utaratibu usio rasmi kwenye harusi Nyingi Bunge lilipitisha lini hii Sheria bila kutuambia?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimeona ni kama utaratibu ambao hauja ainishwa rasmi ila ukienda katika harusi nyingi lazima utakuta kuna Lijishangazi, Lijidada, Lijimama mdogo moja Balaa sana. Lenye ku present utajiri wa mwanamke wa Kibantu.

Hili huwa linakuwa mbele ya msafara na nyuma pia wakati ndugu au maharusi wanaingia ukumbini. Nliuliza sababu ni nini... Nikaambia hii mibantu fahari ya waafrika huwa inakuwa kwenye msafara kwa ajili ya kuchanganya maadui...

Na huwa unakuta limechangamka kinyama.... Halafu pia utakuwa kuna kimbaumbau flani naye hayupo nyuma kavaa skirt fupi kinyama....naye anakuwa hayupo nyuma katika kuchangamsha sherehe...

Nimehudhuria harusi nyingi na kuona video nyingi huwa najionea hilo....je hili suala lilipitishwa lini na Bunge? Au ndo Serikali inapitisha mambo kimya kimya tu bila kutushirikisha wadau? Basi naomba mibantu kama hii iwe single please. Ili tuweze chukua namba kuwajulia hali wanapotoka kwenye sherehe.
 
Utaishia kupiga chaputa hadi ukome.
 
Back
Top Bottom