kibabu mtoto
Member
- Nov 30, 2024
- 64
- 102
Bima ya afya kwa kila raia ndo kila kitu hapo, bora wapunguze elimu bure pesa iwekwe kwenye afya kwa kila raia.Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Jibu jepesi mlitakiwa muwaambie basi bakieni nayo hiyo Maiti sisi tunaenda kumaliza msiba.Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Kwenye swala zima la afya serikali haijaweka utaratibu mzuri. Sasa ona unazuia maiti ili iweje?Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Serikali iliyofikisika inazuia maiti ili kumdai marehemu alipe.Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Chanzo ni sisi wenyewe tunayakuza mambo,kama ndugu tumehakikisha huyu ndugu yetu ni kweli amefariki,tunaomba mwili tukauhifadhi,wanakatalia,tunaanza kujiliza huku na huko...Waachieni maiti tuone watafanya nini
Tulienda Leo Dec 10 na laki 6 cash mkononi kama sehemu ya kulipa deni, tukaambiwa ktk 2.5 milioni, tulipe walau advance 1.4 milioni na pia ndugu wawili waache vitambulisho original vya nida ili tupatiwe na kuzuia na deni linalobakia lilipwe taratibu ili tukimaliza kulipa deni ndo tutapewa ID zetu za Nida. Hadi muda huu bado wanaishikilia maiti wao pale muhimbili. Hatujui hatma ya maiti ya mpendwa wetu tutafanya njia Gani ili tuipate. Inahuzunisha sana.Tanzania Uhuni Ni Mwingi Sana
Unazuiaje Mwili Usio Na Pumzi
Raisi anagawa pesa kwa Viongozi wa Dini na Timu za mipira, na Wewe ungekua una julikana kama Mwijaku na Dotto Magari Mama angekulipia ili aoneka anaupendo kwa Wananchi wake lakini ndio hiyo Raisi hawezi kusaidia watu wa chini kwasababu hata onekana.Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Usichokijua hicho ndicho wanachokitaka. Hapo wanakuwa wamepata cadaver kwa ajili ya kufundishia madaktari wapya. Kususa kwenu ni faida zaidi kwa taasisi.Jibu jepesi mlitakiwa muwaambie basi bakieni nayo hiyo Maiti sisi tunaenda kumaliza msiba.
Mkuu poleni sana kwa kuondokewa na mpendwa wenu na changamoto ya Muhimbili pia.Hili jambo limenikuta maana Kuna ndugu yangu amefariki tangu alhamisi iliyopota, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila Kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje Kwa hili.
Potelea mbali kama ajenda zao ndio hizo, cha muhimu mtamfanyia ibadazote muhimu ndugu yenu basi inatosha.Usichokijua hicho ndicho wanachokitaka. Hapo wanakuwa wamepata cadaver kwa ajili ya kufundishia madaktari wapya. Kususa kwenu ni faida zaidi kwa taasisi.