KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ccm haitaki watu wazike ndugu zao. Ccm kimekuwa chama cha hovyo kabisa tangu utawala wa Magufuli Na huu wa Samia, wamekosa kabisa utu, wanataka kusifiwa kwa gharama zozote. Usipowasifia wanakuteka