Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

Nitaenda na tax wengine niwatiye kwenye buti wawe wa akiba nikiwamis namchota mmoja mmoja.
 
Okay, mimi nilikuta watetangulia vyumbani mimi joka la kibisa nikafukuza wa kwangu wenzangu wakala jiwe sijui kiliendelea nini. Nilipouliza Receiption nikaulizwa utalalaje na baridi hii, nikasema sitaki, ila ni mimi tu nililalamika. tulikuwa kama wanne hvi.
 
Nimependa ulivyojidadabua vema isipokuwa maneno "wapumbavu waliojazana kama......" naona kama ni kali mno kwa mtu uliyejiita wa utani na burudani.
 
Ugonjwa huu. Si bure!!
 
ha ha kuna mshikaji wangu anafanya research huko mafinga recently ameniambia hii kitu ha ha halafu bar zao ziko kama uko sebleni ha ha
Bar kama sebulen sababu ya baridi hasa jion ,IRinga na Njombe bar unaingia ndani

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Tahadhari tu waungwana.

Njombe ndio mkoa unaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Unafatia Iringa bwashee

Halafu namba tatu ni Mbeya

Songwe unafunga nne Bora ila hapa upo ukimwi wa Zambia, yaani wiki tu umeshapukutika

Sidhani kama sumbawanga utacheza mbali.

Halafu ndio Shinyanga na kwingine hivyo tahadhari muhimu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Huu uzi utapata wachangiaji wengi sana
Na hakuna Uzi ambao GENTAMYCINE naanzisha hapa Jamiiforums usikimbiliwe Kukodolewa na Kuchangiwa.

Na hii ndiyo maana ya kuwa...

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Baadae kati ya Saa 2 na Saa 3 Asubuhi nitaanzisha Mada zingine na utaona Watu watakavyozichangia.
 
Hebu waandikie kitabu elimu hii isipotee
 
Unajieleza sana punguza kujieleza kipopoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…