Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Endelea kupitia vifungu vyote ndugu ila mwisho wa siku jibu utapata kuwa katiba yote ni batili na instahili kupigiwa kura ya NO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kupitia vifungu vyote ndugu ila mwisho wa siku jibu utapata kuwa katiba yote ni batili na instahili kupigiwa kura ya NO
saf sana endelea kujisomea utagundua jambo kuhusiana na hii katiba pendekezwa na kisha uipigie kura ya kuipitisha,ila umenifurahisha kwa kuwa specific,kura ya ndiyo kwa katiba pendekezwa
So what? Piga kura ya YESSSSSSSSSSNimeisoma na bado naendelea kuisoma yapo mapungufu ambayo sio lazima kuomba msaada wa kuelewesha hata kwa akili ya kawaida yanaonekana.
Kuhusu kupigia kura ni maamuzi ya mtu binafsi kuamua hapana au ndiyo bila kuangalia matakwa ya mtu au mrengo wa mtu
Kijana hapo umejichanganya we mwenyewe, soma vizuri uelewe hivo vipengele. Hakuna utata wowote hapo.
Wakuu wa JF
Katika kupitia katiba pendekezwa nimekumbana na huu utata hususani katika sehemu ya Makamu wa rais
Ibara ya 99- inasema kutakuwa na Makamu wa rais watatu ambao ni
(a) Makamu wa kwanza wa rais
(b) Rais wa Zanzibar ambaye atakuwa makamu wa pili wa rais na
(c) Waziri mkuu ambaye atakuwa makamu wa tatu wa rais.
Utata ukaanzia hapa:
Ibara 100(3) inasema Chama cha siasa chochote au mtu yeyote anayekusudia kugombea nafasi ya madaraka ya Rais, akiwa mgombea huru, hatazuiwa kumpendekeza mtu yeyote kuwa mgombea nafasi ya madaraka ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS kwa sababu tu kwamba mtu huyo kwa wakati huo ameshika nafasi ya madaraka ya RAIS WA ZANZIBAR
Swali:
1: Je kama huyu rais wa Zanzibar atateuliwa kugombea nafasi ya makamu wa rais wa kwanza wa JMT hii nafasi ya umakamu wa pili wa rais bado itakuwa ni yake ama itakuwaje hapo?
2: Ikiwa yeye ndiye makamu wa kwanza wa rais wa Jamhuri ya Muungano na rais wa JMT akiwa hayupo katika nafasi hyo kwa muda mfano akiwa amesafiri je panapohitajika uwakilishi wa sehemu zote mbili yaani Tanzania bara na visiwani na ikiwa shughuli hyo inaulazima wa kuhudhuliwa na viongozi wakubwa sana katika pande hizi mbili?
3: Napatwa na kigugumizi namna ya utekelezaji wa majukumu kwa pande mbili yaani huku akiwa makamu wa rais na huku ni rais je majukumu yake atatekelezaje kwa wakati mmoja?
Naomba kufanunuliwa hapo ili nipate uelewa zaidi maana naona kama kuna double standard katika hyo nafasi.
Nawasilisha.
So what? Piga kura ya YESSSSSSSSSS
Moyo wa kuisoma Katiba Inayopendekezwa ni wa kiungwana, uhuru wa mtu kupiga kura ya ndiyo au hapana sii jukumu la kumlaghai mtu mwingine na kumhadaa afuate mawazo yako. Wewe mhimize mtu asome hiyo Katiba then yeye atumie uhuru wake muda utakapofika wa kufanya hivyo.

Sawa sawa mkuu maana huyo dogo hapo juu hajasoma vizuri kakurupuka tu kutoa hoja ambayo majibu yake yanahitaji mtu asome kwa makini na kuelewa.Hakuna utata. Katiba inasema rais wa SASA wa Zanzibar anaweza KUPENDEKEZWA awe makamu wa kwanza wa serkali ya jmt IJAYO. By then (kama watashinda) atakuwa si rais wa Zanzibar tena, nao watakuwana Rais MPYA. WM
Moyo wa kuisoma Katiba Inayopendekezwa ni wa kiungwana, uhuru wa mtu kupiga kura ya ndiyo au hapana sii jukumu la kumlaghai mtu mwingine na kumhadaa afuate mawazo yako. Wewe mhimize mtu asome hiyo Katiba then yeye atumie uhuru wake muda utakapofika wa kufanya hivyo.
Hakuna cha NO au HAPANA, Ni KUSUSIA kabisa. Nitaeleza kidogo:
Kwanza: Katiba pendekezwa inatakiwa kususiwa maana mchakato wake ni batili tangu ilipoingizwa kwenye Bunge la Katiba. Katiba pendekezwa haina uhalali maana kura za Wabunge (Bunge la katiba) zilichakachuliwa ili kuipitisha.
Pili: Kura zote za NO zitabadilika na kuwa NDIYO endapo watu watajitokeza kupiga za NO maana Serikali wanataka kuipitisha' inyeshe mvua lije jua' na hakuna wa kuzilinda kura za HAPANA.
Suluhisho ni kuanza UPYA Bunge la katiba na mchakato ufanyike kwa maridhiano na kuheshimu maoni ya wananchi. Sula la kura ya maoni lifanyike kama procedure za kisheria tu lakn baada ya maridhiano ya kitaifa. Katiba inatakiwa ituunganishe WaTZ na sio kututenganisha na kuiacha nchi katika mpasuko
Ni uchungu sana na mateso kutii KATIBA ambayo hujairidhia na ambayo mchakato wake unalalamikiwa na makundi mengi katika jamii. Itakuwa ni katiba inayohamasisha ukiukwaji wa haki na sheria. Haitaheshimiwa kamwe.
Ngilenengo1