Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa.
Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani.
Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa baadhi ya wazazi hawamtaki watoto wao waende shule hadi wahakikishiwe usalama wao watoto wawapo shuleni.
Tunakwenda wapi?