Huu utekaji nyara wa watoto wetu mashuleni na mitaani kisha kunyofolewa viungo vyao, nani mhusika?

Huu ni uhujumu sasa, hao wanaoteka watakuwa wametumwa kwa kusudi na dhamira wanazojua wao
Mungu awalinde watoto wetu
Ila wasakwe na jamii na wahukumiwe na jamii pia washenzi hao wanaovuruga amani kwa lengo lao
Hii kitu inafanyika na hao hao waliyoko juu eidha kumhujumu mama au ndiyo dili za wanasiasa

Nmepewa taarifa juzi mitaa ya KINO B,kuna mtu alikuwa kwenye bajaji anandesha ikaja gari ikampiga tachi,wakamshusha wakaondoka naye...
Sasa mtu kama anachukuliwa kwa style hyo huwezi jua ,je wanaenda mnyofoa viungo
Au jamaa amechukua mke wa mtu au kadhulumu hatujuwi

Ova
 
Tulishakubariana ukinaswa kwa style hio piga kelele ujaze Watu usiondoke kizembe hivyo, piga kelele wananibakaaaa huku wananibakaaaaaaa
 
Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa

Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani

Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa baadhi ya wazazi hawamtaki watoto wao waende shule hadi wahakikishiwe usalama wao watoto wawapo shuleni

Tunakwenda wapi?
Maaskari wengi Bagamoyo na Chalinze wamekimbilia barabarani kubambikia watu speed. Mfano askari waliopo Msata wanabambikia sana madereva speed. Kabla hujavuka daraja la Wami mita chache tu Kuna kibao Cha 50 na ukivuka mita chache tu unakuta kibao Cha katizo la speed 50. Sasa wamekaa kituo cha Kijiji kinachofuata kabla ya kufika Msata ukitokea Wami. Wanakula rushwa ru kwa speed za kubambikia,kwasababu wengi hawatambui mwanzo na mwisho wa speed 50. Rpc pwani tunakuomba pangua hao askari wakasimamie usalama wa watoto wetu vijijini na mashuleni.
 
Hii kitu inafanyika na hao hao waliyoko juu eidha kumhujumu mama au ndiyo dili za wanasiasa

Nmepewa taarifa juzi mitaa ya KINO B,kuna mtu alikuwa kwenye bajaji anandesha ikaja gari ikampiga tachi,wakamshusha wakaondoka naye...
Sasa mtu kama anachukuliwa kwa style hyo huwezi jua ,je wanaenda mnyofoa viungo
Au jamaa amechukua mke wa mtu au kadhulumu hatujuwi

Ova
Hilo la kwanza linawezekana pia
Mataukio yanatokea karibia na uchaguzi na serikali kimya why
Waziri wa ulinzi wa zamani alipata ajali watu wakapitia simu zao mpaka Pistol
Wajeda walikwendwa walipiga kijiji kizima within hours kila kitu kilipatikana

Wakitaka wanaweza kwa siku chache tu kuwakamata hao watu ila kama ni mchongo na hujumu basi tutegemee mengi
Hao wazazi ndio wapiga kura na watoto ni taifa la kesho kwa nini wanafanya haya

Kuna maswali mengi sana
Na matukio mengi yanaendelea ila yatajulikana
Au SGR wanaona riziki zao za biashara ya Mabasi yamepungua
 
Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa

Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani

Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa baadhi ya wazazi hawamtaki watoto wao waende shule hadi wahakikishiwe usalama wao watoto wawapo shuleni

Tunakwenda wapi?
Chaguzi zipo Jirani na kazi inayolipa Kwa sasa ni siasa
 
Hilo la kwanza linawezekana pia
Mataukio yanatokea karibia na uchaguzi na serikali kimya why
Waziri wa ulinzi wa zamani alipata ajali watu wakapitia simu zao mpaka Pistol
Wajeda walikwendwa walipiga kijiji kizima within hours kila kitu kilipatikana

Wakitaka wanaweza kwa siku chache tu kuwakamata hao watu ila kama ni mchongo na hujumu basi tutegemee mengi
Hao wazazi ndio wapiga kura na watoto ni taifa la kesho kwa nini wanafanya haya

Kuna maswali mengi sana
Na matukio mengi yanaendelea ila yatajulikana
Au SGR wanaona riziki zao za biashara ya Mabasi yamepungua
Wanajuwa fika kinachoendelea

Ova
 
Back
Top Bottom