Mbona mnatuchanganya sana dola inasema huo ni uzushi wananchi mnabiga kelele kweli..Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa
Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani
Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa baadhi ya wazazi hawamtaki watoto wao waende shule hadi wahakikishiwe usalama wao watoto wawapo shuleni
Tunakwenda wapi?
Media za kibongo wako bize kucheza komasava,kuzungumzia umbea udaku mipiraKule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa
Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani
Wizara husika mko wapi? Shime shime Watanzania, leo kuna shule huko Bagamoyo watoto wamegoma kwenda shule na msimamo wa baadhi ya wazazi hawamtaki watoto wao waende shule hadi wahakikishiwe usalama wao watoto wawapo shuleni
Tunakwenda wapi?
Mkatoa na sadaka?Jana tulifanya Maombi maalumu pale KKKT Azania Front kuliombea taifa
Wanasema ni drama wanajiteka wenyeweHuu ni uhujumu sasa, hao wanaoteka watakuwa wametumwa kwa kusudi na dhamira wanazojua wao
Mungu awalinde watoto wetu
Ila wasakwe na jamii na wahukumiwe na jamii pia washenzi hao wanaovuruga amani kwa lengo lao
Kila kitu wao wanaona drama, ila kuwekeana sumu wao kwa wao ni kweliWanasema ni drama wanajiteka wenyewe