Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu.
Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi.
Mwanafunzi atajibu nini kwenye mitihani?