Kujua viongozi wa nchi.Tumia akili ww! Mwanafunzi akijibu kuwa waziri wa fedha ni mwigulu(kwa mfano) inamsaidia nini?
Viongoz ambao ni temporary? Mwanafunz akimjua Baba wa taifa toshaKujua viongozi wa nchi.
Akili yako haina akili kabisa,watu wanawaza kuishi sayari ya mbali kwa mavumbuzi mbalimbali wewe unawaza vijana wakalilishwe majina ya viongozi mafisadi?Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu. Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi. Mwanafunzi atajibu nini kwenye mitihani?