The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Dunia ni kijiji.Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
Impact of globalizationKwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
Technologia hatuna ndio maana. Kila kitu tunatoa kwao, wamesha ona hatujitambui.Kwa wnaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walian wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
Mchina tena kawaletea watu unafuuTechnologia hatuna ndio maana. Kila kitu tunatoa kwao, wamesha ona hatujitambui.
Sema Mchina yuko serious sana bidhaa za Mzungu zote zita toweka.