Huu uwekezaji ni salama? Gavoo na Mamlaka zinaujua?

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Wakuu habari za muda huu.
Kuna uwekezaji ambao upo kwa mfumo wa betting,sitaki kuingia ndani sana kuudadavua,kubwa tu nahitaji kujua,Je,uwekezaji huu ni salama? Gavoo inajua kama raia wake wamewekeza huku au ndio mpaka vilio vianze ndio tusikie matamko?
Cha kushangaza Betting hii sio ya kupoteza/kuchana mkeka,ni wewe kukubaliana tu na matokeo ya mechi wanayotoa wao kama kampuni,mfano game ya leo ni Cordoba Vs Eibar. Matokeo yawe Cordoba 2_3 Eibar,Odds 3.51,hivyo tu,asubuhi ya kesho uhakika wa faida.Haina ku_lost.
Binafsi nimeshawishika kutia 10m,ili kesho niingie K.koo kwa shopping kujiandaa na sikukuu za mwisho wa mwaka. Faida itakua hivyo baada ya game kuisha👇
 
ingia upakatwe kuna mjuaji mmoja kapakatwa 4m kwenye hizi mbanga za ujanjaujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…