Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kupitia dini hizi mbili nyemelezi yaani uislamu na ukiristo:
1. Waafrika waliuzwa utumwani kwa ushirikiano wa waarabu na wazungu.
2. Afrika ilitawaliwa kikoloni,
3. Majina na mila za kiafrika vilipigwa marufuku na kuuawa,
4. Ardhi yetu ilitwaliwa. Kanisa liliiba ardhi yetu na kuwa mmilki mkubwa wa ardhi, kututoza sadaka na zaka wakati zikidai miungu yao ni matajiri,
5. Afrika inapoteza fedha nyingi kwa watu wake kwenda kuhiji na kutembelea 'sehemu takatifu' wakati ni mahali pa makaburi ya mababu zao,
6. Afrika ilipoteza lugha zake. Tunafundishiwa kiarabu na wakati fulani kilatini,
7. Wake zetu wanadhalilishwa kuwa waume zao ni vichwa, sijui wao ni nini? Ukitaka kuona udhalilishaji huu angalia passport au vitambulisho vyako. Vina kichwa tu.
8. Wanawake wetu wamegeuzwa wafungwa kwenye miili yao. Wanavalishwa ninja.
9. Afrika ililetewa uzinzi na ushoga. Rejea uzinzi wa Suleimani, kuruhusu mibaba mizima kubaka watoto hadi miaka 9 kwa kisingizio cha kuoa. Rejea ngano za Sodoma na Gomora,
10. Kugeuzwa maskini kwa kutegemea miujiza badala ya kubuni, kufikiri, na kuchapa kazi,
11. Kutoa fursa kwa matapeli wa kiroho kuwaibia watu wetu wajinga, maskini, na waliokata tamaa,
12. Kutugawanya na kutuchonganisha. Rejea vikundi vya kigaidi vilivyotamalaki kila penye utajiri,
13. Kutuaminisha kuwa kuna pepo baada ya kufa wakati wao wakiishi peponi hapa duniani kwa fedha na utajiri wetu,
14. Kubaka, kulawiti na kuzini watu wetu. Rejea kashfa ya kanisa katoliki inayovuma kwa sasa,
15. Kutuua mfano mtu anapoacha uislam na kuingia dini nyingine,
16. Kutupotezea muda tukifundishwa kukariri upuuzi badala ya kusoma sayansi,
17. Kutuita majina mabaya na kutugeuza wanyama. Rejea wakristo wanavyoitwa kondoo na siyo simba na waislamu wanavyoita watu makafiri na wagalatia na upuuzi mwingine,
18. Kuchoma maktaba zetu wakieneza dini zao,
19. Kutudanganya na amri kumi zinazoitwa za mungu ambazo walizivunja zote,
20. Kutupeleleza na kutoa habari kwa wakoloni baada ya kujua siri zetu kupitia kutubu dhambi,
21. Kutufarakanisha, kutugeuza mazwazwa wanaochukiana na kuuana kwa ajili ya imani za wengine,
22. Kutubagua, rejea hakuna papa wala imama mkuu wa maka mswahili, maswahiba na warithi wa mohamed yaani mahalifa wote ni waarabu, vitu vyote vyeupe ni vitakatifu wakati vyeusi ni laana,
23. Kutufanya tutukane na kukana mila zetu,
24. Kutufundisha hata namna ya kuchamba,
25. Kutupangia tule na kunywa nini,
26. Kusababisha makelele (noise pollution) kwa mikesha na azana misikitini.
ONGEZA CHAKO TAFADHALI.
NAWASILISHA.