Huu uzi ni kwa wanaojimbua tu kwa madini yake kuhusiana na dini nyemelezi za kigenin

Yap inferiority complex imewajaa waafrika. Angalia mfano mdogo JF names na avatar zao. Wengi wanajiita majina ya kizungu na ya kiarabu wanaweka avatar za wazungu.

Hiyo inaonyesha inferiority complex yao vichwani yao na jinsi wanavyofikiri. Wanatukuza, kukuza na Kueneza utamaduni wa wageni. Wajapan, Wachina, Korea hawafanyi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…