GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,685 Reaction score 128,178 Mar 27, 2025 #1 Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,698 Reaction score 17,114 Mar 27, 2025 #2 Hauna tatizo mkuu,mimi pia nimeshangaa umefutwa
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Mar 27, 2025 #3 GENTAMYCINE said: Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline. Click to expand... Kama hujala, unakunya kitu Gani,mawe?
GENTAMYCINE said: Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline. Click to expand... Kama hujala, unakunya kitu Gani,mawe?
The Family Wallet JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 5,849 Reaction score 9,643 Mar 27, 2025 #4 Janabi anataka kusema yeye na kamwili kale anakunya Lita mbili za mavi?
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,861 Reaction score 15,836 Mar 27, 2025 #5 Moderator...