Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

Ahaha imenibidi na mimi nicheke tu.

Wanauchukulia mwili poaa saaana kwamba mwili ni mpumbavu saaana wa kusahau majukumu yake.

Mwili ambao wakati upo mtoto mwili huo jmejitengenezea moyo wake wenyewe kiungo ambacho ni very complex hivi kweli mwili huo utashindwa kufikisha damu tumboni eti kisa mgongo umeungua na moto ?
 
Mimi sijui cha kuandika.
Acha nisome nipate mada
 
Me sio daktar ila nilivyo sikia kuhusu vidonda vya tumbo na njaa ya muda mrefu ni kwamba unapokaa muda mrefu bila kula kinachotokea tumbo linakuw tupu SS vile vimeng'eny vinakosa chakumeng'eny hapo vinaanza kukangua tumbo na mwisho wa siku mtu anaangukia vidonda vya tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…