Kuna wimbo mmoja hiv unasikika Sana mtaani ni wa bongo fleva umeimbwa na mwanamke na mwanaume na moja Kati ya mistari ya huo wimbo ni
"Naisi kuibiwa, nachanganyikiwa"
"Nimechoka kusubili,mbona utokei"
Alafu corus yake inaimbwa " kaputa" sijui nitakuwa nimelipatia hili neno .
"Naisi kuibiwa, nachanganyikiwa"
"Nimechoka kusubili,mbona utokei"
Alafu corus yake inaimbwa " kaputa" sijui nitakuwa nimelipatia hili neno .