Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hahah!! Mkuu embu mtag au ndio umerusha jiwe gizani litakae mpata huyo huyoMoyo wangu watamani, kuwa nawe ....... niwe nawe Kila Mara Kila saa.
Jitokeze unisikie Leo, njoo kwangu tuwe wote. Peke yangu siwezi, nahitaji msaada wako, ulinzi wako Na uongozi wako. Nakupenda sana
Morning Glory sio kitu cha kuchezeaHaa haa haa kweli biashara
Asubuh jion mahesabu
Ngoja mm nkimpata wa
Kum dedication nimuwekee
Wang kesho
[emoji2] [emoji2] hapa bado kuingiza vocal tu studiousinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
usinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
Nakuachaje kwa mfano weeeeeeeeeeeehhh!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] Nipo makini sitaki fanya makosaa. Tumepitia mengi sana humu smart wangu Kama ni tuzo tunastahilii Smart911 wangu nakupenda nakuhitaji nakutaka forever and ever....naomba Mungu atuepushe na roho zenye husda na penzi letuuu... Smart niwewe tu hakika wanitosha.mahondaw tayari ushanipenda na wewe ndiyo wangu mchumba... Kwako wewe ndiyo nishafika mahondaw... na ndani ya moyo wangu wewe ndiyo moja number... unaupendo wa dhati na ni mcheshi sana... una uzuri wa tabia, haki siwezi kukuacha.. Nakupenda shaidi yangu Muumba na wewe unanipenda piaa... sema mahondaw utakacho utapata... waoneshe ni jinsi gani kwangu umedata... elewa tabu nyingi juu yako nimepata... ukinitosa mahondaw nitajitoa sadaka...
Maneno mengi yalisemwa juu yanguu... lakini ulivumilia na upo na mimi... hukuamini hukujali ya kwaoo... eleza unanipenda na hatuta achanaa...
Kabsa mkuu ktu tamu sanaMorning Glory sio kitu cha kuchezea
tena inafanya siku yako yote iwe nzuri na unakuwa unatabasamu muda woteMorning Glory sio kitu cha kuchezea
Wacha weeeusinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
Inaitwaga nyota ya alfajiritena inafanya siku yako yote iwe nzuri na unakuwa unatabasamu muda wote