Huu wimbo ni dedication kwako, wewe nikupendaye

Moyo wangu watamani, kuwa nawe ....... niwe nawe Kila Mara Kila saa.
Jitokeze unisikie Leo, njoo kwangu tuwe wote. Peke yangu siwezi, nahitaji msaada wako, ulinzi wako Na uongozi wako. Nakupenda sana
Hahah!! Mkuu embu mtag au ndio umerusha jiwe gizani litakae mpata huyo huyo
 
Haa haa haa kweli biashara
Asubuh jion mahesabu

Ngoja mm nkimpata wa
Kum dedication nimuwekee
Wang kesho
 
Baba hyo chenja ni noumer lee ,hapo ndege lazma aingie tunduni
 
Inaonekana game ulilopewa night si mchezo Mkuu, kumekucha tu ukaona umpatie kabisa sifa zake!
 
usinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukipenda funguka tu tena mpe na dedication kali kali huyo umpendaye mpaka achanganyikiwe
 
usinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
[emoji2] [emoji2] hapa bado kuingiza vocal tu studio
 
mahondaw tayari ushanipenda na wewe ndiyo wangu mchumba... Kwako wewe ndiyo nishafika mahondaw... na ndani ya moyo wangu wewe ndiyo moja number... unaupendo wa dhati na ni mcheshi sana... una uzuri wa tabia, haki siwezi kukuacha.. Nakupenda shaidi yangu Muumba na wewe unanipenda piaa... sema mahondaw utakacho utapata... waoneshe ni jinsi gani kwangu umedata... elewa tabu nyingi juu yako nimepata... ukinitosa mahondaw nitajitoa sadaka...

Maneno mengi yalisemwa juu yanguu... lakini ulivumilia na upo na mimi... hukuamini hukujali ya kwaoo... eleza unanipenda na hatuta achanaa...
 
Nakuachaje kwa mfano weeeeeeeeeeeehhh!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] Nipo makini sitaki fanya makosaa. Tumepitia mengi sana humu smart wangu Kama ni tuzo tunastahilii Smart911 wangu nakupenda nakuhitaji nakutaka forever and ever....naomba Mungu atuepushe na roho zenye husda na penzi letuuu... Smart niwewe tu hakika wanitosha.
 
usinitie preshaaa hakuna zaidi yakoo,, wee ndo unaenikoshaa zinatosha huba zakoo, nakupenda sanaa nakupenda tuangaliee maishaaa achana na chokochoko, yamennogeaa yamennogeaa mara kapinda mgongo yamennogeaa . mara kanyanyua miguuu yamennogeaa !!,, tuchee tuchee tuche tucheze sindimbaaa.. nipee nipee nikikupa utalewaa ooohhhh .. unajuaa nakupeendaa nakupendaa nakupenda lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda .. tabasamu kidogo nione raha mwenzio mpaka nipagawee .. cheka kidogo raha mwenzio mpaka nipahawee, ,,,,,,, eti zoa maganda peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaaaa. agaaa agaa agaa agaaa agaaa ooohhhh unajua nakupenda Smart911 nakupeeeenda nakupenda
..lolote Lile nitatenda kwa ajili yako nakupenda..
( dancing) [emoji126] [emoji173] [emoji182]
Wacha weee
 
Back
Top Bottom