Huu wimbo ni kwaajili ya mtu ninayempenda hapa tafadhali pokea

Huu wimbo ni kwaajili ya mtu ninayempenda hapa tafadhali pokea

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Kwako mpenzi,

Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako.

Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo.
Ahsante

Jina la wimbo: I called you so many times
 
Tumia private messages, asipokujibu maana yake hataki na kaa mbali
 
Sidhani kama uko sawa kichwani
Huo ndio ukweli.
Na kwa bahati mbaya ili mapenzi yawe na thamani, mara nyingi ni lazima akili ikae tenge.

Ndio maana utaona mtu amepanga lakini anamjengea mwanamke nyumba.
Au Msichana anakimbia bangaloo na vitanda vya kifahari, anakuja kukaa getto na msela huku wakilala kwenye mkeka na kula ugali kwa kauzu.

Usimshangae sana mleta mada.
 
Aisee!
 
Back
Top Bottom