EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Huo ndio ukweli.Sidhani kama uko sawa kichwani
Aisee!Huo ndio ukweli.
Na kwa bahati mbaya ili mapenzi yawe na thamani, mara nyingi ni lazima akili ikae tenge.
Ndio maana utaona mtu amepanga lakini anamjengea mwanamke nyumba.
Au Msichana anakimbia bangaloo na vitanda vya kifahari, anakuja kukaa getto na msela huku wakilala kwenye mkeka na kula ugali kwa kauzu.
Usimshangae sana mleta mada.
Mapenzi ni uchizi mkuuSidhani kama uko sawa kichwani
Sawa
Namtumia meseji private hajibuTumia private messages, asipokujibu maana yake hataki na kaa mbali