Hahaaaa lemutuz mumemchokaaa
Kama anaachia Kimb... vile
HahahahahaMuanzisha uzi umetisha sana umefanya nijenge picha ya Le mutuz kama hiyo ngoma ataamua kuifanyia kideo halafu agonge ile bukta yake nyeupe ambayo kwa mbali unaweza ukadhani kavaa sketi
Hahahahahahaaa jamani nimecheka sana,sio kwa kunichekesha huku MSAGA SUMU...
Wewe ni kiboko aisee.