Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
HahahahahahahahHahaha yu have made my day hahahahaha we ni mtunzi mzuri sana big up
 
U celeb wakutafuta namna hii,hasa ukizingatia umri na mazingira ni hatari kwa mstakabali wa jamii
 
alalalala kumbu sura ya huyo mchizi ndo hiyo nlikua cmjuagi kwa sura du! hahaha
 
99f18b63d2401014ab0141a26f3722d8.jpg

Kama anaachia Kimb... vile
 
Muanzisha uzi umetisha sana umefanya nijenge picha ya Le mutuz kama hiyo ngoma ataamua kuifanyia kideo halafu agonge ile bukta yake nyeupe ambayo kwa mbali unaweza ukadhani kavaa sketi
Hahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom