Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
6,818
Reaction score
9,183
Habari wadau,

Kuna Huu wimbo mpya wa Nikki wa Pili Baba Salehe nimeusikiliza mashahiri yake naona Kama ni Dongo kwa mzee wa mabebe Le big show kutokana na baadhi ya mistari kumlenga moja kwa moja.

"Story unazopiga utafikiri una balehe kumbe ni mdingi baba salehe"

"Kupiga picha na kujisifia una mabebe nyumbani una watoto kibao"

Ni kweli Dongo kwa Le Big Show akili kubwa?
 
Teh teh teh...... le mutuz le mburulaaaa.....
 
Habari wadau,

Kuna Huu wimbo mpya wa Nikki wa Pili Baba Salehe nimeusikiliza mashahiri yake naona Kama ni Dongo kwa mzee wa mabebe Le big show kutokana na baadhi ya mistari kumlenga moja kwa moja.

"Story unazopiga utafikiri una balehe kumbe ni mdingi baba salehe"

"Kupiga picha na kujisifia una mabebe nyumbani una watoto kibao"

Ni kweli Dongo kwa Le Big Show akili kubwa?

Utupie hapa kabisa wembo wote
 
Le Mbululazi simpendi huyo mzee insta aliniblock huwa najidai huku hawezi niblock
 
siwezi jibizana na mbururaz gademuz, haa haaa im humbled . lemutuz.
 
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa', hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa Tycoon la all bongo social media.

Nanukuu "Kila siku uko insta, vitu unavyopost siyo smart, eti una Lembebezz kama Mswati" mwisho wa kunukuu.

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili, Tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa Weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.

12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg

1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana , na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo).

Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "Nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka COSOTA kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu, Sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

Mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super Noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym.
 
Naisubiri kwa hamu hiyo single ya Le mbebez
 
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa' ,hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa tycoon la all bongo social media. Nanukuu "kila siku uko insta,vitu unavyopost siyo smart,eti una Lembebezz kama mswati" mwisho wa kunukuu

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.
12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg
1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana ,na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo)
Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka cosota kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu,sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym
aaaah aaaah nimecheka sana mkuu una utani mbaya
 
Ha ha hahahaha nimecheka mpaka nimekojoa!
 
Hahahaaaa
...hiyo vita itakuwa kubwa sana, kumbe jiwe lishampata mtu!!

Ruttashobolwa pita hapa, sumu ishasagwa mchana huu!
 
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa' ,hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa tycoon la all bongo social media. Nanukuu "kila siku uko insta,vitu unavyopost siyo smart,eti una Lembebezz kama mswati" mwisho wa kunukuu

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.
12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg
1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana ,na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo)
Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka cosota kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu,sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym
lemutuz kama kweli unataka kufanya wimbo wa kumjibu Nikki Wa Pilli., utauza sana kaka coz wewe ndo Donald Trump wa Bongo..... Tunaisubiri kwa hamu kubwa sana.
 
Hapa naonekana anaimba kwa hisia sana

Back
Top Bottom