Huu wimbo wa Pastor Munishi unaotuhumu CCM kupoteza wapinzani, hizi tuhuma hazikumuweka matatani?

huyu jamaa ni shost kwahiyo hata akili zake hazi fanyi kazi sawasawa yaani kutoka kuwa tapeli waumini mpaka kuwa mwana siasa kweliii
Atakuwa shost mwenzako unaonekana unamfahamu vizuri sana.
 
Kibao kimejaa Spana muruwa, kama namuona Makala huko Lumumba alivyonuna😁😁
 
Sasa huyu kiongozi wetu wa dini hata majibu hayajatokea anaanza kuhukumu kweli . Siasa zisitumike kufanya faraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…