Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

Kuna watu wawili wamekuja kutoa pesa kwangu 'wakala' .. wa kwanza katoa 450,000 na wa pili katoa 500,000 Wote hawa namba yao ni moja 252659 234042 lakini majina ni tofauti. Mmoja jina lilikuwa 'Daniel Michael' na wa pili jina lilikuwa ' Jonh Joseph'.

Wakati wa kutoa waliomba namba ya wakala na meseji kwangu ilikuja kawaida kama miamala mingine... na pia salio liliongezeka kama ilivyotakiwa.

Baada ya muda, kuangalia salio naona pungufu ndipo nikapiga simu tigo na kuambiwa kwamba hakuna miamala hiyo iliyofanyika.. sasa angalieni hizi picha na muweze kutoa majibu.

View attachment 1475195View attachment 1475196View attachment 1475197View attachment 1475199
Huo muamala wa pili wa 500000 toka lini tigo wanatoa mrejaa 2250 kwa muamala wa 500000? Hilo kwangu pia limenishangaza, muamala wa 500000 mrejaa wake ni 1800 tu
 
Jibu kama simu zako zilishikwa na hao matapeli, leo au days before...

Kama walizishika tafuta mtu anaitwa TIGOPESA kwa phonebook yako ukimkuta, liaaaaaa... Kisha endelea na bness, chukulia kuwa umelipa ada ya mafunzo as hutaibiwa tena na hakuna mtu atagusa yo phone again!
Umetisha mkuu nimeona nikasema ngoja nisome comment kwanza!
 
Back
Top Bottom