Huu wizi wa halotel mamlaka zinasemaje?

Huu wizi wa halotel mamlaka zinasemaje?

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
450
Reaction score
883
Hawa jamaa nawaita wezi kwa sababu wameniunga na huduma ambayo Mimi siipendi Wala sio kwa matakwa yangu

Huduma hii mwanzo walikuwa Kila siku wanakata sh 100 kwenye Kila vocha ambayo naingiza

Wiki iliyopita nikaamua kuwapigia
Mhudumu wa kwanza : akadai Kuna huduma ya halosoka nilijiunga hivyo hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603

Nikajaribu kutuma hio text mara nyingi bila mafanikio nikajua labda wanataka vocha nikajaribu kuunga vocha bila kifurushi napo wapi

Nikaamua kupiga Tena , huyu mhudumu wa pili akasema nitume neno OFF kwenda namba 15603
Nikajaribu Tena na tena lakini wapi

Nikapiga Tena huyu mhudumu wa tatu akasema nizime simu then niwashe na Kisha nitume Tena neno OFF kwenda namba 15603 na kweli nikazima na kuwasha lakini hali ikawa vile vile

Nikapiga Tena huyu mhudumu mwingine akasema analiwasilisha kwa kitengo husika ndani ya masaa 24 watakuwa wameondoa . Lakini yalivopita Hali ikawa vile vile na hela nikaendelea kukatwa. Nikaamua kukubaliana na hali yao so nikitaka kifurushi Cha 2000 basi nanunua vocha 2500 Ili wakate na 100 yao

Lakini Juzi nimetulia zangu simu Ipo mfukoni nikaona mlio wa text kutoa simu na kufungua nakutana na message kuwa nimefanikiwa kujiunga na huduma Fulani hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603 na ada ya huduma ni sh 100 Kila siku

Na Kila nilijaribu kutuma neno ONDOA kwenda hio namba 15603 message haziendi na kwa saivi Kila nikiweka vocha nakatwa sh 200

Nimejaribu kuwapigia customer care majibu yao ni kama wahudumu wa kwanza wale na hakuna ninachosaidiwa
Screenshot_20230204-112012.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sasa hivi huwa sihangaiki nao,huwa naeka hela halopesa ndo naunga kifurushi.
 
Jana halotel haikuwa hewani Hapa Kibondo kuanzia saa mbili asubuhi Hadi saa kumi. Nilikosa huduma ya internet ya kufanyia Mambo muhimu mno, mbaya Zaid hela niliyokuwa nayo ilikuwa Kwenye halopesa!
 
Hili limekuwa Tatizo sana
Japo Kwango Niliweza Kuliondoa ila Ilinishangaza Kupiga Huduma kwa Wateja naambiwa Nilijiunga mwenyewe hawana uwezo wakuunga wao kitu ambacho nilipinga sana nakumwambia mhudumu wengine Wapuuzi ila Halotel ni ×100
 
Serikali imeamua kuwaacha waje kwa wingi nchini. Wanapewa na vibali kutoka kwa Uhamiaji. Waache wapige pesa tu maana hiyo inaonekana kabisa ni ujanja wakuongeza mapato huku wakiendelea kuwalipa Wabongo mishahara kama dada wa kazi za ndani. Ni watu wa Vietnam kama sijakosea
 
Kama ndo hivi basi halotel ni wezi mwaka jana nilisajili line ya halotel lakn nilivoweka tu vocha baada ya wiki nikakatwa mia mbili, kupiga simu huduma wa wateja naambiwa nimejiunga na huduma ambayo hata sijawahi kuusikia nikapambana sana karibia wiki nzima ili niondolewe kwenye huduma hatimaye wakaniondoa. Lakn cha ajabu wife nae kasajili line mwezi uliopita nae anakatwa pesa kwa kisingizio kuwa amejiunga na huduma sijui huduma gan. yaan n ujinga ujinga tu nadhani wameamua kukata wateja wao pesa ili wapate peaa zaidi kuendesha kampuni
 
Hawa jamaa nawaita wezi kwa sababu wameniunga na huduma ambayo Mimi siipendi Wala sio kwa matakwa yangu

Huduma hii mwanzo walikuwa Kila siku wanakata sh 100 kwenye Kila vocha ambayo naingiza

Wiki iliyopita nikaamua kuwapigia
Mhudumu wa kwanza : akadai Kuna huduma ya halosoka nilijiunga hivyo hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603

Nikajaribu kutuma hio text mara nyingi bila mafanikio nikajua labda wanataka vocha nikajaribu kuunga vocha bila kifurushi napo wapi

Nikaamua kupiga Tena , huyu mhudumu wa pili akasema nitume neno OFF kwenda namba 15603
Nikajaribu Tena na tena lakini wapi

Nikapiga Tena huyu mhudumu wa tatu akasema nizime simu then niwashe na Kisha nitume Tena neno OFF kwenda namba 15603 na kweli nikazima na kuwasha lakini hali ikawa vile vile

Nikapiga Tena huyu mhudumu mwingine akasema analiwasilisha kwa kitengo husika ndani ya masaa 24 watakuwa wameondoa . Lakini yalivopita Hali ikawa vile vile na hela nikaendelea kukatwa. Nikaamua kukubaliana na hali yao so nikitaka kifurushi Cha 2000 basi nanunua vocha 2500 Ili wakate na 100 yao

Lakini Juzi nimetulia zangu simu Ipo mfukoni nikaona mlio wa text kutoa simu na kufungua nakutana na message kuwa nimefanikiwa kujiunga na huduma Fulani hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603 na ada ya huduma ni sh 100 Kila siku

Na Kila nilijaribu kutuma neno ONDOA kwenda hio namba 15603 message haziendi na kwa saivi Kila nikiweka vocha nakatwa sh 200

Nimejaribu kuwapigia customer care majibu yao ni kama wahudumu wa kwanza wale na hakuna ninachosaidiwa
View attachment 2505673

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Tuna neno ondoa huku , Ukiwa kuna hela kamili yaaani pawepo na mia tatu ( 300 ) au nakuendelea !!!
 
Maana hilo neno ONDOA huwa linatuma kwa shillingi 100 , Kama sikosei .

Tafadhali tumia njia hii kama itawezekana !!!
 
Tuna neno ondoa huku , Ukiwa kuna hela kamili yaaani pawepo na mia tatu ( 300 ) au nakuendelea !!!
Yaaani , Weka Vocha kama ilivyo bila kujiunga , alafu Tuma neno ONDOA kwenda iyo namba .
 
Usiwe unaweka vocha ya kawaida. Jiunge kupitia halopesa wallet. Mimi pia walikuwa wananifanyia huu ufala. Nina miaka miwili sasa sijaweka vocha ya kukwangua. Na ninatumia kama kawaida line yangu.

Nilipiga customer care wale wapumbavu hawana msaada wowote zaidi ya kukuenjoy tu malalamiko yao. Kuna siku nilikesha nao, napiga simu wakinambia sijui fanya nn nakata napiga tena, nilipiga hadi sasa nikawa nakutana na wahudumu wale wale, wakaanza kunijibu jeuri ikafikia hatua nikaanza kugombana na m'moja tunajibishana anajibu kwa Shari.

Nikipiga tena nawasikia wanaambiana ndio huyo anapiga tena. Niliwawashia moto siku ile nadhani hadi namba yangu wanaijua hadi leo. Nikiwauliza waniambie ni tarehe gani nilijiunga na ni muda gani hawana details zozote zaidi ya kunambia namna ya kujitoa. Mafala sana hawa. Wanatafuta namna za kujipatia pesa kiwizi wizi.

Ila pia unaweza kuingia katika menyu ya halotel na kukataza matumizi nje ya bundle yaani pesa isikatwe nje ya kifurushi so ukiweka pesa ni marufuku kuikata.
 
Siwezi kutupa line sababu line hii ni ya muda mrefu na nimeitumia kujiunga na huduma nyinginezo na baadhi ya documents zangu nimeweka namba hii

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Usiwe unaweka vocha ya kawaida. Jiunge kupitia halopesa wallet. Mimi pia walikuwa wananifanyia huu ufala. Nina miaka miwili sasa sijaweka vocha ya kukwangua. Na ninatumia kama kawaida line yangu.

Nilipiga customer care wale wapumbavu hawana msaada wowote zaidi ya kukuenjoy tu malalamiko yao. Kuna siku nilikesha nao, napiga simu wakinambia sijui fanya nn nakata napiga tena, nilipiga hadi sasa nikawa nakutana na wahudumu wale wale, wakaanza kunijibu jeuri ikafikia hatua nikaanza kugombana na m'moja tunajibishana anajibu kwa Shari.

Nikipiga tena nawasikia wanaambiana ndio huyo anapiga tena. Niliwawashia moto siku ile nadhani hadi namba yangu wanaijua hadi leo. Nikiwauliza waniambie ni tarehe gani nilijiunga na ni muda gani hawana details zozote zaidi ya kunambia namna ya kujitoa. Mafala sana hawa. Wanatafuta namna za kujipatia pesa kiwizi wizi.

Ila pia unaweza kuingia katika menyu ya halotel na kukataza matumizi nje ya bundle yaani pesa isikatwe nje ya kifurushi so ukiweka pesa ni marufuku kuikata.
 
Hawa jamaa nawaita wezi kwa sababu wameniunga na huduma ambayo Mimi siipendi Wala sio kwa matakwa yangu

Huduma hii mwanzo walikuwa Kila siku wanakata sh 100 kwenye Kila vocha ambayo naingiza

Wiki iliyopita nikaamua kuwapigia
Mhudumu wa kwanza : akadai Kuna huduma ya halosoka nilijiunga hivyo hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603

Nikajaribu kutuma hio text mara nyingi bila mafanikio nikajua labda wanataka vocha nikajaribu kuunga vocha bila kifurushi napo wapi

Nikaamua kupiga Tena , huyu mhudumu wa pili akasema nitume neno OFF kwenda namba 15603
Nikajaribu Tena na tena lakini wapi

Nikapiga Tena huyu mhudumu wa tatu akasema nizime simu then niwashe na Kisha nitume Tena neno OFF kwenda namba 15603 na kweli nikazima na kuwasha lakini hali ikawa vile vile

Nikapiga Tena huyu mhudumu mwingine akasema analiwasilisha kwa kitengo husika ndani ya masaa 24 watakuwa wameondoa . Lakini yalivopita Hali ikawa vile vile na hela nikaendelea kukatwa. Nikaamua kukubaliana na hali yao so nikitaka kifurushi Cha 2000 basi nanunua vocha 2500 Ili wakate na 100 yao

Lakini Juzi nimetulia zangu simu Ipo mfukoni nikaona mlio wa text kutoa simu na kufungua nakutana na message kuwa nimefanikiwa kujiunga na huduma Fulani hivyo nikitaka kujiondoa nitume neno ONDOA kwenda namba 15603 na ada ya huduma ni sh 100 Kila siku

Na Kila nilijaribu kutuma neno ONDOA kwenda hio namba 15603 message haziendi na kwa saivi Kila nikiweka vocha nakatwa sh 200

Nimejaribu kuwapigia customer care majibu yao ni kama wahudumu wa kwanza wale na hakuna ninachosaidiwa
View attachment 2505673

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Duuh pole sana Mkuu wamekucheza sana shere hao wahudumu labda ni mpango shirikishi uliokusudi kwa wahudumu wote, ndio namna kufika targets ili wapate bonus
 
Back
Top Bottom