Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

Hii kozi ya kimasikini sana, kazi hamfanyi mnakazania kupiga majungu harafu mnataka kuongezewa salary
 
Watumishi wa halmashauri ndio wa tumishi wa daraja la chini kati ya watumishi wa umma. Poleni sana.
 
Serikali yetu mlisema mtatuongezea wafanyakazi wenu pesa yote ya mwezi wa saba na huu serikali imetuongezea pesa ya mwezi mmoja tu.

Level moja na mtu wa halimashauri nyingine ongezeko limetofautiana. Huu ni wizi. Hzi halmashauri za mwisho wa nchi ziangalieni zinatuibia saana watumishi wake. Fuatileni mkoa husika
Mkuu samahani hivi mishahara ya Wana halmashauri inalipwa na halmashauri husika au hazina ?
 
Serikali yetu mlisema mtatuongezea wafanyakazi wenu pesa yote ya mwezi wa saba na huu serikali imetuongezea pesa ya mwezi mmoja tu.

Level moja na mtu wa halimashauri nyingine ongezeko limetofautiana. Huu ni wizi. Hzi halmashauri za mwisho wa nchi ziangalieni zinatuibia saana watumishi wake. Fuatileni mkoa husika
Pesa imeongezwa kutokana na Daraja lako na scale yako ya mshahara pia kwa kuzngatia Ajira yako ikiwemo Umeajiriwa lini na Nidhamu kazini as well as umejaza OPRAS je vigezo Na masharti vinakutambua kama unapaswa ulipwe......
Na kingine point of correction
Hakuna nyongeza ya mshahara ya mwezi mmoja (We umeitoa kwenye Sheria Ipi au kwenye Kanuni gani au kweye sera Ipi)

Kilichoongezwa ni Annual Increament na hutofautiana kadri ya mtu na mtu kulingana na Scale yake ya mshahra na Daraja...
Kwa mfano Ulianza kazi ukiwa na Scale ya TGS E 1....
Baada ya Ongezeko utakuwa TGS E 2
Ikumbukwe kuwa Kila daraja na kila scale liko Tofauti katika Nyongeza...
Rejea Waraka wa serikali wa marekebisho ya Mshahara Ya mwaka 2022

Na kingine hauna Halmashauri iliyotofautiaa na Halmashauri nyingine kwa sasa Mfumo wa upandishaji vyeo,Malipo ya Mishahara na increament uko Automatic but unakuwa feeded na Afisa utumishi wako kila mara na sio mfumo kama wa zaman wa lawson...
Kitendo cha kuja Mtandaoni na Kuitukana serikali yako kwa kuiita Mwizi ukiwa kama Mtumishi wa umma kinapingana na
Sheria Za ajira na mahusiano kazini, Kanuni za maadili za utumishi wa umma.,Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma na sera ya ajira etc..
Ni vyema ungeona tatizo hilo ungemconsult Afisa utumishi wako Kwa ufafanuzi
Asante
 
Back
Top Bottom