Huwa inamaanisha nini?

Huwa inamaanisha nini?

nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi wangu ambaye mpaka leo nimeshindwa kumuelewa alikuwa akimaanisha nini.kila siku alikuwa akifika kulala kwangu lazima aache nguo yake ya ndani aliyokuja nayo na yeye kuondoka bila vazi hilo.mara ya kwanza na ya pili sikuona tatizo,lakini zilipofikia kumi na bado anaziacha nilishindwa kuelewa nikamuuliza,sikupata jibu lolote zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na halohaloooo.sasa ndugu zangu naomba msaada alikuwa anamaanisha nini huyu mwenzangu?

u l i n zi
 
Hii kali.. mi mwanamke lakini hapa sin jibu. Yaani anarudi bila chupi? na ameziacha mpaka kumi, duuu hata kama security warudi uchi? zote kumi? Mhh
 
Hii kali.. mi mwanamke lakini hapa sin jibu. Yaani anarudi bila chupi? na ameziacha mpaka kumi, duuu hata kama security warudi uchi? zote kumi? Mhh
Nadhani ni wewe pekee uliyemuelewa vizuri mtoa mada kati ya wote walio-comment kabla yako.
 
Sasa njiani anatembeaje bila kufuli???kweli watu hamnazo!!ole wako uiache ikiwa chafu.Wengine kama ni denti anaziacha ili cku akinasa mimba anakuja kwako straight kwa kuwa kuna vidhibitisho kaviacha ili mambo yakiharibika ushindwe kumkana.Na watu wa aina hii hawaziachi wazi,wanazificha mahali.Kazi ipo
 
:A S 20::A S 20:Akina mama/dada mpooooooooooo? Tunaomba kujua kwanini mnaacha nguo zenu kwa wanaume? Je ni kweli kwa ajili ya security au? Au kwenu hakuna masanduku/mabegi ya kutosha kutunzia nguo zenu? Au kwenu kuna Mende sana hivyo mnaogopa zitaliwa na memde? :A S 20::A S 20:

kwetu kuna mende sana
kabat halitosh
thats y tunaziacha kwenu
 
wanaachaga ndom tena anazihesabu kabisa ole wako akute zimepungua

au ziweke chin ya kapet na si juu ya dressng pale kwenye drooo...haha hahh rahaaa kwel kweli
macho yanamtoka nan katumia...hahaa hhha unamkata main unamjibu nilitumia kuoshe avyombo ahhh :laugh::laugh:!!!!
 
Hii kali.. mi mwanamke lakini hapa sin jibu. Yaani anarudi bila chupi? na ameziacha mpaka kumi, duuu hata kama security warudi uchi? zote kumi? Mhh

anakuwa ameskia joto so aanaamua kuacha kichup uko uko ili awe anapunga upepo afta heavy job...
 
au ziweke chin ya kapet na si juu ya dressng pale kwenye drooo...haha hahh rahaaa kwel kweli
macho yanamtoka nan katumia...hahaa hhha unamkata main unamjibu nilitumia kuoshe avyombo ahhh :laugh::laugh:!!!!

hahahaha raha kweli kumjibu, "mpenzi nilikuwa nafanya usafi leo bahati mbaya nikazitupa kisha mwangile usoni alivyopaniki
 
hahahaha raha kweli kumjibu, "mpenzi nilikuwa nafanya usafi leo bahati mbaya nikazitupa kisha mwangile usoni alivyopaniki

raha kweli kweli hawakawii kupanda makabatini kabsa kwa mshtuko,,...
 
duh,wanawake wote wanafanana...
wanaume weng wavivu wa kufikiri.....ANY WAY WANAUME WOTE WANAFANANA.....so to speak ryt?
acha generalization wewe kufanana kufananaje labda?
kwendaga uko
 
kuacha hiyo nguo ya ndani si mbaya, ila kuondoka bila kuvaaa? mmmh cant imagine!!
 
au ziweke chin ya kapet na si juu ya dressng pale kwenye drooo...haha hahh rahaaa kwel kweli
macho yanamtoka nan katumia...hahaa hhha unamkata main unamjibu nilitumia kuoshe avyombo ahhh :laugh::laugh:!!!!

Rose umenimaliza bavu zangu.....ati katumia kuosha vyombo....:laugh::laugh::laugh::laugh:!!!
 
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi wangu ambaye mpaka leo nimeshindwa kumuelewa alikuwa akimaanisha nini.Kila siku alikuwa akifika kulala kwangu lazima aache nguo yake ya ndani aliyokuja nayo na yeye kuondoka bila vazi hilo.Mara ya kwanza na ya pili sikuona tatizo,lakini zilipofikia kumi na bado anaziacha nilishindwa kuelewa nikamuuliza,sikupata jibu lolote zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na halohaloooo.Sasa ndugu zangu naomba msaada alikuwa anamaanisha nini huyu mwenzangu?

Lol!
Paka; apo hatujagusia kwenye Gari zetu, demu wako plus vimeo kila mtu anataka aweke decoration yake kwa gari yako kama vile hata ela ya honi alichangia..hyu Rozari kwenye kioo cha kuangaliazia nyuma, hyu tasbihi, mara biblia kwenye dashbodi, hyu nae anataka aache sandozi kwenye buti....apo hujagusia air fresher, aliyoweka hyu, kumbe yule ana areji nayo harufu yako....etc etc etc...
Nahisi gari zetu tair zinachakaa kwa kubeba mizigo hii...ila uzur ni kwamba huwa hawavioni, wakiviona anasingiziwa sista aliazima gari..:clap2:
 
Back
Top Bottom