Goofy_
Member
- Mar 7, 2024
- 79
- 253
Habari..
Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana.
Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja, lakini ikifika muda wa kula unashangaa anakuuliza "Nawewe unakula?", au "Nikupe na wewe?" Maswali kama haya huwa yananikata sana. Naweza nikaenda kwake labda jioni nikakaa hadi usiku. Hata kama Sina ratiba ya kulala kwake, anaweza akawa anapika chakula anakuuliza "nawewe unakula?"
Juzi usiku nikiwa kwake, alikuja rafiki yake kumtembelea. Nilimpa pesa akahemee apike chakula, nikamuagiza anunue na Bites ili walau tutafune akiwa anarekebisha chakula. Karudi kauliza swali hilohilo, "Nawewe Nikupe"? Nikasema hapana. Ikabidi rafiki yake amchane aache maswali ya namna hiyo Kwa kuwa yanaashiria Uchoyo, it's better umpe mtu, kama hayuko interested atakwambia. Nikapotezea tu as if sikusikia maongezi yao.
Katika tabia sivutiwi nazo ni hii, sio kwangu tu, nimenotice sehemu tofauti akiionyesha. Naombeni mawazo yenu ya kibusara nimsaidie ajirekebishe aache huu upuuzi