Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

Kuna wakati mtoto tumboni anamuathiri mama yake kitabia ili awe wa kujiangalia zaidi mahitaji yake (na ya mtoto automatically) for the proliferation and survival of our species , it is a hormone thing sometimes
 
Wanawake wengi ni self centered.
Asilimia kubwa ni hivyo mkuu, ila Kuna wengine wana-care sana. Ila huyu... Kila kitu atataka confirmation whether unahitaji or not ndio aweze ku-share. Ufala huu. Most of the time huwa naishia kumkatalia tu
 
We mpende tuu, mpende hivohvo, kuna wangu nmempata aisee kitu ajui ni kujieleza..
 
  • Kicheko
Reactions: M45
Mi nilidhani anakunyima kabisa kumbe anakuuliza ili akupe? Hebu chukulia positive mkuu, inawezekana hataki kutupa chakula apike machakula mengi alafu usile. Mbona easy tu kaka, mwambie kila ukiniona kwako jua ntakula chakula! Hivyo tu

Au kwani akikuuliza kama na wewe akupe ukisema ndio huwa anakunyima?

Huo sio ubinafsi mkuu, labda sema yuko sensitive. Ubinafsi ingekuwa anaficha hakupi kabisa!
 
Mwanamke akikupenda amekupenda hata akikupa shilingi 100 ya piriton ukaikataa patachimbika. Sijui utambembeleza kwa njia gani. 😄

Huyo wa vimaswali vyake inadhihirisha kuwa unatakiwa kujiongeza.

Nakumbuka niliwahi kusoma kitabu cha Sungura na mkewe(Sungura mnyama).

Sungura jike alikuwa hampendi sungura dume, kwa hiyo akawa anafanya visa ili achukie amuache.

Sema huyo manzi wako anaonekana alikuwa ni vile vitoto vya kishua ambavyo vikitoka shule lazima kikute kile kiporo cha wali wa jana. Kasipokuta kanazira kilakitu. 😂
 
Habari..

Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana.

Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja, lakini ikifika muda wa kula unashangaa anakuuliza "Nawewe unakula?", au "Nikupe na wewe?" Maswali kama haya huwa yananikata sana. Naweza nikaenda kwake labda jioni nikakaa hadi usiku. Hata kama Sina ratiba ya kulala kwake, anaweza akawa anapika chakula anakuuliza "nawewe unakula?"

Juzi usiku nikiwa kwake, alikuja rafiki yake kumtembelea. Nilimpa pesa akahemee apike chakula, nikamuagiza anunue na Bites ili walau tutafune akiwa anarekebisha chakula. Karudi kauliza swali hilohilo, "Nawewe Nikupe"? Nikasema hapana. Ikabidi rafiki yake amchane aache maswali ya namna hiyo Kwa kuwa yanaashiria Uchoyo, it's better umpe mtu, kama hayuko interested atakwambia. Nikapotezea tu as if sikusikia maongezi yao.

Katika tabia sivutiwi nazo ni hii, sio kwangu tu, nimenotice sehemu tofauti akiionyesha. Naombeni mawazo yenu ya kibusara nimsaidie ajirekebishe aache huu upuuzi
Mchagga?
 
Akutie mimba wewe?.
Duh kweli kuna madhara ya kucomment bila kusoma , sorry sikusoma ujumbe wote nilisoma heading tu nikacommet . Mtoa mada usimuache mama kija mvumilie tu ni swala la muda yatapita tu.
 
Achana naye Mkuu.
Utaoaje Mtu tayari ameanza kukukwaza kwenye Uchumba?
 
Habari..

Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana.

Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja, lakini ikifika muda wa kula unashangaa anakuuliza "Nawewe unakula?", au "Nikupe na wewe?" Maswali kama haya huwa yananikata sana. Naweza nikaenda kwake labda jioni nikakaa hadi usiku. Hata kama Sina ratiba ya kulala kwake, anaweza akawa anapika chakula anakuuliza "nawewe unakula?"

Juzi usiku nikiwa kwake, alikuja rafiki yake kumtembelea. Nilimpa pesa akahemee apike chakula, nikamuagiza anunue na Bites ili walau tutafune akiwa anarekebisha chakula. Karudi kauliza swali hilohilo, "Nawewe Nikupe"? Nikasema hapana. Ikabidi rafiki yake amchane aache maswali ya namna hiyo Kwa kuwa yanaashiria Uchoyo, it's better umpe mtu, kama hayuko interested atakwambia. Nikapotezea tu as if sikusikia maongezi yao.

Katika tabia sivutiwi nazo ni hii, sio kwangu tu, nimenotice sehemu tofauti akiionyesha. Naombeni mawazo yenu ya kibusara nimsaidie ajirekebishe aache huu upuuzi
Uchoyo ni tabia sugu ya wanawake wengi. Sijawahi kununua hata karanga packet ya kwangu tu. Lazima ninunue share 2, kama ni ndizi 2 chochote wawili. Lakini yeye akinunua chochote ananunua cha peke yake. Na akifanya kazi yoyote unaona anaona kero ananuna kama amekusaidia au amekufanyia hisani. Ila wewe ukiwajibika kuhudumia familia unaona amani na unamshukuru MUNGU.
 
Asilimia kubwa ni hivyo mkuu, ila Kuna wengine wana-care sana. Ila huyu... Kila kitu atataka confirmation whether unahitaji or not ndio aweze ku-share. Ufala huu. Most of the time huwa naishia kumkatalia tu
Kambaku amegusia namna unaweza; 1. Kuichukulia positive kwamba anauliza ili ajue nini unataka so anajali matakwa yako.
2. Hii naongezea mimi, jichunguzeni malezi na makuzi yenu. Usikute wewe umelelewa na mzazi anakuchagulia kila kitu na ukapenda hivyo na ukaona ndio kujaliwa, mfano anachukua jaketi na wewe anakupa sweta "vaa sweta hili hapa" HALAFU yeye akakua katika mazingira ya uzungu flani kitoto kinaulizwa vipi kuna baridi sasa je utavaa sweta au unachagua jaketi ... "sweta mama " "na nikupe jekundu au la bluu?".... nk. kanaona hivyo ndio kujaliwa hisia zake.

Mkija kukua (ambabo ndio sasa hivi) kila mmoja ataonesha upendo kadiri ya alivyojifunza kwa namna yake. Shangaa nakuambia wapo wanaokasirika kuona mtu nimekuja nimekaa sina hili wala lile mara unanitengea liugali likuuuuuuuuubwa utadhani nilikuambia nina njaa!😡. ?? Wapo pia watakaoona hawajajaliwa.
 
Huyo ukimuoa ukiacha hela ndani atazichukua alafu atakuuliza kwani ulikuwa unazitaka?
Utanunua gari yeye atakuliiza kwani na wewe unataka kuendesha?
Mkijenga nyuma atakuuliza kwani kuna ulazima na wewe kuishi humu?
Jiandae kutangulizwa mkifanikiwa

Il na wewe hizo tabia ulikiwa unajizua kabla hujampa mimba, kwanini ulimpa mimba, au ndio ulifurahia shoo na k kubana, ukasahau kama kuna maisha baada ya sex

kwanimi humwambii hiyo sitabia sio tu huipendi, pia huitaki! Au unamwogopa?
Sio baadae unatujazia mada za kuja kujaza server ukilalamika, chukua hatua
Wewe ni dhaifu sana
 
Back
Top Bottom