Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini.

Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa, kipi huwa mnajiuliza kabla ya kumkubali mwanaume.

Baadhi ya Maswali yenu nimeweza kuchambua.. lakini ningependa mkipita hapa wahusika basi mnaweza kuongeza point.

1. Hivi huyu mwanaume ataweza kunivumilia mimi nilivo kavivu.
2. Ataweza kweli kutulia na mimi huyu na mapenz sijui, sijui hata hisia za wanaume ziko wapi.
Atanichoka haraka.
3. Huyu sawa mshamba mwenzangu, lakini mbona muongeaji sana. atanitangaza huyu.
4. Aisee huyu mvulana ni mjanja sana, simfai hata, atanitoa ushamba bureee.
5. Mmmh huyu atakua anaomba mzigo mala kwa mala, sitamuweza
6. Huyu kaka msafi sana, na huu uchafu wangu, nitaachwa mapema.
7. Huyu kwa kazi yake aisee wataniibia tu, simuwezi.
8. Jamani yani namuonea aibu sana huyu kaka lakini nimemuelewa na mimi.
9...
mtaendelea na nyie 😃😃
 
Surya kaka wewe lala tu.
huu uzi na masaa haya tutakukuta barabarani bure na mabeseni.

ishort unaowataka sio hadhi yako tafta pesa vingine vitajiexpress themselves.
 
Nyie mnaitwa huku! Mje kuendelea...
 
Swali jingine.
Kwa jjnsi ninilii yangu ilivyo pana, huyu kaka nitadumu naye kweli?
 
Back
Top Bottom