Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

Dawa ya mtu kama huyo ni kumfungia vioo tu naye apate maumivu kama yale aliyoyasababisha mwanzo.

Na saa nyingine wivu pia sababu unaweza kuta alitegemea akimuacha mtu atamkuta choka mbaya sasa akiona mtu ananawiri basi anarudi taratibu.

Wanaume punguzeni sitaki nataka ndio maana mnakosa vizuri kwa pupa zenu.
ngoja waje
 
Siyo kwa wanaume tu hata kwa wanawake. Mtu yoyote mabaye ulimpenda kwa dhat kabisa, ulimpenda na ukajitolea mwili na roho alaf baadae akakuachia maumiv akaenda zake huko anapo jua. Ukioa au kuolewa wakisikia tu wanaanza kukutafuta, maana nafsi huwa zinawasuta sana ukipiga hatua.
 
Dawa ya mtu kama huyo ni kumfungia vioo tu naye apate maumivu kama yale aliyoyasababisha mwanzo.

Na saa nyingine wivu pia, sababu unaweza kuta alitegemea akimuacha mtu atamkuta choka mbaya sasa akiona mtu ananawiri basi anarudi taratibu.

Wanaume punguzeni sitaki nataka ndio maana mnakosa vizuri kwa pupa zenu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
vinyongo ni sumu best, maisha yenyewe mafupi haya, tusameheane then maisha yaendelee, tuendelee hivi kununiana mpk lini, ngumu sana upendo kuugeuza chuki, tunatakiwa kuyamaliza no matter what, ndiyo ni radhi kulia hata mabegani hasira ziishe

Tukisema tuwasamehe kila mnaporudi basi mtazidi kutufanya wa majaribio best. Wacheni tukomae kwenye hivyo mnavyovoita vinyongo huenda mkawacha tabia ya kuondoka na kurudi.

Ila Sijaamini ulichoniandikia best. Nishazowea vurugu zako za kunikatisha tamaa.
 
Nyumbani ni nyumbani mkataa kwao mtumwa ukiona hivyo jua mwamba amekosa pa kuhemea..

Ya kale ni dhahabu.

Jungu kuu halikosi ukoko
Yaani Ndugu zangu mlivyoandika kama watu wakiachana wanaachana kwa raha. Wakati wengine huwa wanaondoka kwa matusi na kejeli juu.

Sasa kama huyo hata atoe misemo gani mitamu hawezi eleweka aisee.
 
Back
Top Bottom