Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

ngoja waje
 
Siyo kwa wanaume tu hata kwa wanawake. Mtu yoyote mabaye ulimpenda kwa dhat kabisa, ulimpenda na ukajitolea mwili na roho alaf baadae akakuachia maumiv akaenda zake huko anapo jua. Ukioa au kuolewa wakisikia tu wanaanza kukutafuta, maana nafsi huwa zinawasuta sana ukipiga hatua.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
vinyongo ni sumu best, maisha yenyewe mafupi haya, tusameheane then maisha yaendelee, tuendelee hivi kununiana mpk lini, ngumu sana upendo kuugeuza chuki, tunatakiwa kuyamaliza no matter what, ndiyo ni radhi kulia hata mabegani hasira ziishe

Tukisema tuwasamehe kila mnaporudi basi mtazidi kutufanya wa majaribio best. Wacheni tukomae kwenye hivyo mnavyovoita vinyongo huenda mkawacha tabia ya kuondoka na kurudi.

Ila Sijaamini ulichoniandikia best. Nishazowea vurugu zako za kunikatisha tamaa.
 
Nyumbani ni nyumbani mkataa kwao mtumwa ukiona hivyo jua mwamba amekosa pa kuhemea..

Ya kale ni dhahabu.

Jungu kuu halikosi ukoko
Yaani Ndugu zangu mlivyoandika kama watu wakiachana wanaachana kwa raha. Wakati wengine huwa wanaondoka kwa matusi na kejeli juu.

Sasa kama huyo hata atoe misemo gani mitamu hawezi eleweka aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…