elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Njema tu rafiki hofu kwakoHabari rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njema tu rafiki hofu kwakoHabari rafiki
Salama kabisa, karibu tenaNjema tu rafiki hofu kwako
Wao ni vinara na kila mwanaume anao ushahidi, wachokozi ni wao na sisi tunamalizia tuNashangaa wao wanavyotulalamikia lakini wao ndio vinara wa vituko.
Asante sana...majukumu yakizidi ndiyo hivyo..Salama kabisa, karibu tena
Naona ulipotea....
Yaani shosti acha tuu,wengine alhamdulillah Allah akitupa wepesi wakusahau tunasahau hadi kucha zao,halafu umesahau mwenyewe umenawiri umenoooga umezidi kuwa mtamm utaliona jitu hilo linakuja kama mtumwa wa zama za pilato anakuangukia,.nyooo unaweza mmwagia tindikali kwa hasira haki vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Aliruka pakavu akakanyaga maji. Mwambie apambane na hali yake. Na usisahau kumkumbusha kwamba kuna ule usemi usemao "ukiona cha nini........................"
Ila wanaume mna visa saa nyingine yaani mtu ameshasahau na kama ni kidonda kilishapona halafu unajirudisha tena. Khaaaa
UsijaliAsante sana...majukumu yakizidi ndiyo hivyo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unazidi kuwa mta.mu......Yaani shosti acha tuu,wengine alhamdulillah Allah akitupa wepesi wakusahau tunasahau hadi kucha zao,halafu umesahau mwenyewe umenawiri umenoooga umezidi kuwa mtamm utaliona jitu hilo linakuja kama mtumwa wa zama za pilato anakuangukia,.nyooo unaweza mmwagia tindikali kwa hasira haki vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haswaaaa Mr Mwifwa[emoji12] [emoji12] mtam kwelikweliUnazidi kuwa mta.mu......
Hahahahahahhaaaaaa
Umenifurahisha sana.....Haswaaaa Mr Mwifwa[emoji12] [emoji12] mtam kwelikweli
[emoji5] [emoji5]Umenifurahisha sana.....
Yaani. Acha tu rafikiYaani shosti acha tuu,wengine alhamdulillah Allah akitupa wepesi wakusahau tunasahau hadi kucha zao,halafu umesahau mwenyewe umenawiri umenoooga umezidi kuwa mtamm utaliona jitu hilo linakuja kama mtumwa wa zama za pilato anakuangukia,.nyooo unaweza mmwagia tindikali kwa hasira haki vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe nawewe bado unamkubali huku unajishauaMimi sasa sikumbuki,japo ni handsome
kuna rafiki yangu huwa anatibuana na demu wake wanaseparate hadi miezi mi3 na bado wanapendana ila huwa wanategeana nani ataanza kumpigia cmu mwenzake.Cku m1wapo akijitoa ufahamu kuanza kupiga cmu na mapenzi huanza upyaNilikuwa muumini mkubwa sana wa huo msemo wa 'usirudie matapishi' hadi miaka miwili iliyopita.
Mwaka 2015: Moshi, KLM
Kuna mzee mmoja wakati tunakuwa alikuwa ndo kipimo cha ulevi. Ulevi wake ulikithiri kiasi kwamba alifukuzwa kazi. Alikuwa mwalimu mzuri sana. Wale waliokwenda kusoma huko ulaya enzi za Nyerere. Ulevi wake ulimfanya wakaachana na mkewe.
Mwaka 2015 baada ya kuacha pombe kwa miaka miwili walirudiana na mkewe na tulienda kwenye sherehe yao ya kubariki ndoa. Mpaka ninaandika hapa wapo pamoja na ndugu zangu walio Moshi wanasema wanaishi kwa amani.
Mwaka 2017: huku na kule duniani
Hawa ni wazungu. Walioana kijana akiwa 22 na binti 19. Wakazaa watoto. Baadaye wakashindwana tu. Kijana alikuwa mkorofi tu hakumaliza mambo ya ujana anajisemea mwenyewe. Miaka 30 baadaye, huku kila mmoja akiwa na mtoto wa nje, wamerudiana na wanaishi pamoja.
Mimi: 2008
Nilimpenda binti. Baada ya mimi kumaliza chuo nilienda kufanya kazi mbali na yeye. Alianza kuonesha hints za kushindwa akisema alitamani ule ukaribu kwenye mahusiano. Baada ya muda tukaachana. Miezi michache baadaye nikambembeleza turudiane nikiahidi nitajitahidi kuwa nakwenda kumsalimia. Baada ya kufanya safari mbili, akaniacha akisema ananipenda sana lakini anashindwa. Mara hii, alirudi yeye kutaka tujaribu tena.
Nilipima malalamiko yake ya mwanzo na hali tuliyokuwa nayo nikaona hakuna kilichobadilika. Nilikuwa ninampenda nakuhakikishia. 2009/10 ndo enzi facebook imeshika kasi kweli basi nilikuwa nimemuweka huko kote. Ila nilijua najiset up for maumivu tu, kwa kuwa hakuna kilichobadilika katika kilichotufanya tuwe pamoja. Nilifanya maamuzi ya kutokukubaliana na hilo.
In short, hakuna formula kwenye mapenzi. Cha maana ni kuhakikisha kile kilichofanya muachane kimerekebishwa ama la. It may work kama hao wawili it may not work kama mimi, lakini hakuna matapishi kwenye mapenzi. Ndiyo maana watu wanaoa watu waliokwisha kujifungua hata watoto wawili, wanaoa divorcees.
La pili na la muhimu, unapoamua kurudiana naye, hakikisha mnaanza moja. Mara nyingi wengi hukosea hapa na ku-assume walipoachia. Anza moja kwenye urafiki.
Mwisho, kwako Mama Sabrina, naamini mpaka umeileta hii huku kuna hisia moyoni mwako (unless wewe ni wale wa kuanzisha thread ali mradi uonekane umeanzisha). Do not ignore the feeling, do not fight it...jiridhishe tu uanze moja. Mwisho wa siku tunahitaji kuwa na tumpendaye.