Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

Mimi nilimpata mmoja nikamuweka mb..oo mdomoni tatizo lilimuondoka.

Nimepata mpya huyu anajamba hatariii nafikiria kumpa dawa ileile iliomfaa mwenziwe[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MRANGI WA SINGIDA NA SIO KONDOA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilimpata mmoja nikamuweka mb..oo mdomoni tatizo lilimuondoka.

Nimepata mpya huyu anajamba hatariii nafikiria kumpa dawa ileile iliomfaa mwenziwe[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo dawa unayotaka kumpa, so ataacha kujamba?? Ataharisha kabisaa.
 
Kabisaa kabisaa.
 
Kikawaisa sikoromi ila siku nkichoka saaana nakoroma mamakeh hadi inanikera mm mwenyewe
Kweli, mtu akichoka sana pia au kulewa sana wengine hukoroma. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inauzwaje hii?

Maana nami nakoroma kama jenereta
Ziko za bei tofauti zinaanzia 5k hadi 30k huko.. Kuna stika za kawaida, kuna za kuvaa kawaida na zipo hadi zinazotumia umeme.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…